Chelsea, Arsenal waonana huku Man Utd ikiendea Everton

Taifa Leo - - FRONT PAGE - LONDON, Uingereza

KOCHA Antonio Conte amewataka vijana wake wa Chelsea kulipiza kisasi cha kuzidiwa maarifa na Arsenal kwenye fainali ya Kombe la FA msimu jana watakaposhuka leo dimbani kupepetana uwanjani Stamford Bridge katika kipute cha Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).

Chini ya kocha Arsene Wenger ambaye amedhibiti mikoba ya Arsenal kwa zaidi ya miongo miwili, mabingwa hao watetezi wa Kombe la FA waliwabamiza Chelsea 2-1 kwenye fainali iliyowakutanisha uwanjani Wembley mnamo Mei 2017.

Ushindi wa Arsenal katika mchuano huo uliomshuhudia fowadi Victor Moses wa Chelsea akioneshwa kadi nyekundu ulitamatisha vibaya kampeni za Conte aliyekuwa akiwatia makali

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.