Mwanafunzi wa Moi Girls apumzishwa

Taifa Leo - - NEWS -

JAMAA NA marafiki wabeba jeneza la mwanafunzi wa Moi Girls Hawa Aziz wakati wa mazishi katika kijiji cha Kosele, Rachuonyo Kaskazini hapo jana. Shule hii ilipoteza wanafunzi 9 katika janga la moto lililokumba mojawapo wa bweni zake.

BURIANI!

Picha/ James Latano

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.