Kongole waziri Matiang’i

Taifa Leo - - BARUA -

WAZIRI wa Elimu Dkt Fred Matiang’i alitoa ratiba ya mitihani ya KCPE na KCSE tarehe 4/9/2017.

Ningependa kuwaasa watahiniwa wote wa mwaka huu kuwa wasipoteze wakati wao.

Inasikitisha kuona kwamba wiki la kwanza limeshatamatika ilhali kuna baadhi ya watahiniwa na wanafunzi ambao bado hawarudi shuleni.

Ninawaomba walimu na wanafunzi wa shule zote nchini watie bidii katika kudurusu na kupitia katika kazi mbalimbali itakayoleta tija kwao. USTADHI WEKESA ANDREW Shule ya upili ya Sinoko

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.