Polisi wazime silaha shule

Taifa Leo - - BARUA -

VISA vya matumizi mabaya ya silaha vinaongezeka kila uchao.

Kisa cha kusitikisha ni kile cha mwanafunzi kuwatisha wenzake na bastola.

Katika mitaa mingi Nairobi, vijana wengi hujifanya polisi wakiwa na bunduki na magwanda na kuchukuwa hongo kwa wananchi nyakati za usiku ...kwa ufupi wamejiajiri kwa njia hiyo.

Huko kwa idara ya polisi kwani hakuna mikakati ya matumizi na uhifadhi wa silaha hatari hadi zinapenya majumbani. Kwa hakika idara hii ndio inafaa kuchunguzwa. MARGARET MINAGE Chuo kikuu cha Zetech

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.