Wote wahudumu miaka 10

Taifa Leo - - BARUA -

BAADHI ya wanasiasa wanastahili pongezi chungu nzima.

Mfano mzuri ni mbunge wa Nakuru Mjini Bw David Gikaria.

Hii ni baada yake kusema kwamba atawasilisha ombi katika bunge ipitishe sheria ili wabunge na maseneta wawe wakihudumu kwa mihula miwili pekee.

Ukweli wa mambo ni kwamba viongozi wanaochaguliwa hawajibiki na kuhudumia wakazi wa maeneo yao.

Kila mmoja kuanzia madiwani hadi

Rais itasaidia kupunguza tabia za uzembe kazini. KIM MEJA NJUGUNA, Shule ya Upili ya Gachoka, Gatundu

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.