Ni wazo kuwajali mayatima

Taifa Leo - - BARUA -

KUJENGWA kwa vituo vya kuokoa watoto mayatima na wasio na makao rasmi kutasaidia watoto haswa wanaorandaranda mitaani katika Kaunti ya Pokot Magharibi. Kaunti hii itasaidia pakubwa katika ujenzi wa vituo hivyo.

Ikiwezekana pia waanzishe masomo katika vituo hivyo ili watoto hao waweze kuwa na elimu. MARGARET KIMANI NJUGUNA, Shule ya Upili ya Gachoka, Gatundu

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.