Sanamu za mabwana hatarini

Taifa Leo - - HABARI ZA AFRIKA NA DUNIA - Picha/afp

MAAFISA wa polisi wa mjini Dallas washika doria huku wafanyakazi wakiondoa sanamu ya mkuu wa eneo la Confederate, Robert E Lee kutoka kwenye bustani ya Robert E Lee Park, Dallas, jimboni Texas mnamo Septemba 14, 2017. Minara ya Confederate yenye sanamu za wapiganaji wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ili kuendeleza utumwa nchini Amerika imezua mijadala mikubwa nchini humo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.