Afueni Gor kufuatia wapinzani kuteleza

Taifa Leo - - SPOTI - Na Geoffrey Anene

GOR Mahia imepigwa jeki katika juhudi zake za kushinda Ligi Kuu msimu huu baada ya wapinzani wao wa karibu Sofapaka kuteleza tena katika sare tasa dhidi ya Kariobangi Sharks jana. Sofapaka ilizabwa 2-1 na Ulinzi katikati mwa wiki. Klabu zinazojivunia mataji mengi katika ligi hii, Gor Mahia (15), AFC Leopards (13) na Tusker (11) zitamenyana na Thika United, Kakamega Homeboyz na Mathare United leo, mtawalia. Gor itafungua mwanya wa pointi 11 ikilemea Thika.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.