Simba kuonana na Sikh kwenye hoki

Taifa Leo - - SPOTI - Na John Kimwere

NAIROBI Simba italimana na Nakuru Sikh kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Magongo ya Wanaume uwanjani City Park leo. Simba ya kocha Inderjit Matharu itasaka kujiongezea pointi zingine tatu baada ya kulemea Greensharks 2-1 wiki moja iliyopita. Greensharks ya kocha Fidelis Kimanzi pia itakuwa uwanjani kuzipiga dhidi ya Chuo Kikuu cha Kenyatta nayo Parkroad Badgers itamenyana na Chuo Kikuu cha KCA.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.