Watoto 4 w afa baada ya lori k u angukia nyumba yao

Taifa Leo - - HABARI ZA KAUNTI - Na Hillary Omiti

WATOTO wanne wenye umri kati ya miaka minne na kumi na miwili waliaga dunia huku mmoja akijeruhiwa vibaya baada ya lori lililokuwa likibeba mchanga kupoteza mwelekeo na kugonga vyumba ambapo watoto hao walikuwa wamelala.

Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Komosense kwenye barabara ya Kimwarabu - Mabera eneo bunge la Kuria magharibi. Kulingana na jirani Julias Mwita, mama watoto hao hakuwa wakati wa ajali hiyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.