Kinamama wawajibike

Taifa Leo - - BARUA -

WANAWAKE watafakari maisha yao wakifika umri fulani, kuepukana na mienendo na tabia zinazotoa mfano mbaya kwa watoto wao hasa wa kike.

Wengi wao huwa wanakemea na kuadhibu mabinti zao na wenyewe wanabebwa na mabodaboda wakipelekwa sehemu za burudani na kurudishwa usiku wa manane.

Kwa vishawishi hivyo wale wale vijana huwa wanarudia mabinti zao na kuwapachika mimba na kulazimika kuacha masomo. Mwishowe wazazi hao hulalamika ilhali watoto wanafuata nyayo zao.

JOHN BARASA OBUSURU,

Busia

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.