Jubilee izingatie demokrasia

Taifa Leo - - BARUA -

KENYA kama taifa, tulikuwa tumepiga hatua kidemokrasia. Mipango ya viongozi wa Jubilee kutumia wingi wao kubadilisha sheria ni ya kibinafsi na imepitwa na wakati. Haki ya mwanaiaji haitakuwa inazingatiwa iwapo watapitisha hoja hizo.

KUSIMBA KENNEDY, Bungoma

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.