M-bet yajitosa sokoni

Taifa Leo - - SPOTI - Na GEOFFREY ANENE

KAMPUNI ya M-bet ni kampuni ya hivi punde kujitosa katika soko la michezo ya patapotea unaozidi kupata umaarufu nchini Kenya. Kampuni ya Capital Gaming Limited, ambayo inafanya biashara kama M-bet, ina wasimamizi na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa katika sekta ya michezo ya bahati nasibu katika mataifa ya Tanzania, Uganda na Zambia. M-bet imeunda njia ya ubunifu na ya kwanza ya kubahatisha matokeo ya mechi tangu mwaka 2013 ikiwapa wateja nafasi ya kubashiri mechi za ligi kubwa moja kwa moja na kulipiza huduma zao kupitia mfumo imara wa M-pesa kwa nambari 298888. Kiasi cha chini cha kubahatisha ni Sh50.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.