Queens yapangia Wadadia FC kesho

Taifa Leo - - SPOTI - Na Titus Maero

VINARA wa Ligi Kuu ya Soka ya Wanawake ya Zoni B ya Shirikisho la Kandanda ya Kenya (FKF), Vihiga Queens FC, wanalenga kuimarisha uongozi wao ligini watakapochuana na Wadadia FC mjini Mumias, kesho Jumapili. Akiongea mjini Vihiga jana, mkufunzi wa Vihiga Queens, Alex Alumira, alisema wavamizi wake Selphine Muyonga, Phoebe Aketch na Yvonne Kavere wako imara kuzamisha Wadadia ya kocha Rashid Sumba.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.