Hope Ladies yala sare na Shimo

Taifa Leo - - SPOTI - Na Charles Ongadi

HOPE for Youth Ladies FC ilitoka sare na Shimo Girl-soka Ambassadors kwa kufungana mabao 3-3 katika mechi ya kusisimua iliyogaragazwa ugani Shimo la Tewa Primary, Shanzu mnamo Alhamisi. Shimo Girl-soka ndiyo iliyotangulia kuona lango la wapinzani wao kupita shuti kali la Damaris Mumba lakini Hope for Youth ikasawazisha katika dakika ya 15 kupitia Nelly Jillani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.