FUMBO

Taifa Leo - - Fumbo & Falaki -

KULIA:

1. Kamilisha: ------ wa nidhamu.

4. Hauna mfupa.

7. Ulemavu wa kutoweza kuona kwa macho.

8. Tendo la kusaliti nchi, serikali au mfadhili wako.

9. Maiti.

12. Kamilisha usemi: Muundo mmoja kati ya mingine ---ngi.

13. Fuata.

15. Hali au tendo la kuamua.

16. Ni tabia au kawaida yake kukaa.

17. Kinachotokea baada ya yai ya mdudu kuanguliwa.

20. Haoni kundule.

21. Wingi wa vazi.

22. Atoa jibu.

23. Tamko linalomaanisha “naam” au “ndiyo”.

CHINI:

1. Koo.

2. Salimisha.

3. Kamilisha: Hiari inashinda -------.

4. Hali au tendo la kuchumbia.

5. Iliteketea.

6. Ilikuja kwangu.

10. Pia hutamkwa “wachungaji”.

11. Hali au kazi ya kuwa daktari.

14. Mmea unaozaa zabibu.

15. Habari inayopelekwa mbali na pia watu wanaoipeleka.

18. Sawa na kusema “anavua”.

19. Badilishwa kwa fedha.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.