Chemsha

Taifa Leo - - Mikiki -

1. Jiji la Damascus liko nchi gani?

2. Ni milima iliyo kwenye mpaka wa Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Congo.

3. Mto Ganges unapatikana bara gani?

4. Mama wa Isaka katika Bibilia

5. Ni mwandishi wa riwaya ya Mwana wa Yungi Hulewa.

6. Mama wa Rais Kenyatta.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.