Mchongoano

Taifa Leo - - Mikiki -

Wewe ni mchafu hadi photo yako hunuka jasho.

Uko na heshima mpaka ukiingia kwa mathree unabisha hodi.

Mara yako ya kwanza kununua ball gum ulipewa ya green ukaanza kulia ukisema ni mbichi unataka ya red yenye imeiva.

Nasikia demu yako ni mweusi hadi anaharibia makaa fashions.

Ati mbwa wenu ni mzee hadi wagodi wakikam kwenu ni lazima ijishikilie kwa ukuta ndio aweze kubark.

Eti wewe ni fala sana hadi unabeba chai kanisani kwa sababu Yesu ni mkate wa uzima!!

Wewe ni mkonde hadi una valishwa pete kwa kiuno.

Eti wewe ni black hadi ukitembea usiku giza huimba ‘usilete compe’ .

Wewe umekonda mpaka ukimemeza panadol unakuwa pregnant.

Tutumie mchongoano wako kwa nambari ya simu ya 21603 au barua pepe taifafeatures@ke.nationm edia.com ukianza na jina ‘mchongoano’. Tutachapisha kesho baadhi ya maoni mtakayotutumia.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.