Vitendawili na Methali

Taifa Leo - - Mikiki -

1. Ninachimba mizizi ya mti usio na mizizi.

2. Ninacho, nakitumia, lakini kila nikitumiapo, sikiharibu ila nakipa rangi.

3. Ninakula vitu vyote vinono lakini sikui wala sinenepi.

4. Ninakwenda naye na kurudi naye.

5. Ninao mlima ambao una msitu kileleleni tu.

6. Nitokeapo kila mmoja asema namtazama yeye tu. 1 ...................... ana laana.

2 .......... usambe ni ngombe

3. Mja hatindi rehema ...............

4. Mjanja wa usingizi .....................

5. Mkata ......................

6. Mjumbe ...............................

METHALI

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.