Salamu

Taifa Leo - - Mikiki -

Mimi MBUVI NZAINGA ‘MUKUKU’ nikiwa Buruburu. Salamu kwa mke wangu Jane, Muasya na Kivandi wakiwa Nairobi, Cornelius Mutisya, Kaloki Nzilimani, King’oo Kisilu wakiwa Kaviani Mkt na Wasomaji wote wa Taifa Leo.

JACK OTIENO OWUOR nikiwa Nairobi, zangu salamu ziwafikie wanachama wote wa Wakita Bw Peter Ofware, Dkt Abdi Noor, Benson Matheka, Agatha Murithi, Godfrey Mutanda, Peter Onyango akiwa Kisumu, Dancan Mwere, Ali Athuman, Bw. Kigalia,bi Celistine Modani, Sara Tanzania, George Bush na Gorges Kuga.

JAMES MUTAVI KISIO, dereva wa Gen Mulinge High School. Zangu napeperusha kwa mke wangu Beatrice na watoto Mwende, Nduku, Kisio, Musila na Serah wakiwa Abc Kisaani, Cornelius Mutisya na Paul Mbiti wakiwa Kaviani.

Ni SILAS MUINDE nikiwa Kiembeni estate. Zangu ziwaendee Gladys Muthoki, James Musau, David Wambua, Wesley Oki Agera, Plumber Muchiri, Peter Kitush, Sam Kimatu, Sam Kibonge bila kusahau jina kubwa Kinyua bin King’ori na wengine. Ujumbe: Tuombeeni hii nchi yetu wahalifu waache mauaji.

JANET WANZA wa Machakos Kaunti. Salamu kwa watoto wangu Caleb Mutinda na Nicole Mwongeli, wazazi wangu mama Redempta Mwongeli, ndugu na dada zangu popote walipo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.