Wajiji yawaadhibu All Stars bila imani

Taifa Leo - - Spoti - Na Ignatius Oundo

WAJIJI iliadhibu Dandora Allstars 5-2 kwenye kandanda ya Regional League iliyoandaliwa ugani Tumaini, Jumapili. Vijana wa Dandora walijipata chini dakika tano baada ya mechi kuanza kutokana na mabao mawili ya kutoka kwa Kelvin Tosh. Charles Rijwan na Kennedy Otieno waliongeza. Kwingineko, Zamalek iliichabanga Kayole Asubuhi 1-0 kwenye mechi ya kuwania taji la Ligi ya Sportpesa Super 8 ugani Calvary.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.