SHINIKIZO: Chebukati apewa wiki moja ajiuzulu

Taifa Leo - - Buriani Matiba -

Hii inatokea punde baada ya makamishna watatu; Consolata Nkatha Maina, Bw Paul Kurgat na Bi Margaret Mwachanya kujiuzulu

Kiongozi wa Wengi katika Seneti, Bw Kipchumba Murkomen, na mwenzake wa Wachache, Bw James Orengo, wasema hatua ya makamishna kujiuzulu ni ishara tosha ya uozo ulio katika IEBC.

Wabunge Kanini Kega, Kathuri Murungi, James K’oyoo na Mwakilishi wa Kaunti ya Laikipia, Bi Catherine Waruguru, wasema maafisa wote wabadilishwe.

Wazee wa jamii za Ril Valley wakiongozwa na mwenyekiti Gilbert Kabage, wasema tume hiyo haiwezi kuaminiwa kuendesha uchaguzi mwingine wowote

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.