VIDUBWASHA

(I’m IMWALBO2CO3 Bluetooth Smart Watch)

Taifa Leo - - Baruuajumbe -

Ukiwa na saa ya I’m Watch hutataka kutazama simu yako. Saa hii inakuja na programu ya I’m Watch App ambayo humwezesha mtumiaji kuiunganisha na simu ya mkononi. Saa hii pia inaweza kuunganishwa na simu kwa kutumia Bluetooth. Saa hii inapounganishwa na simu, programu zote zilizoko katika simu huhamia katika skrini ya saa. Hiyo inamaanisha kwamba ukipigiwa simu unaweza kupokea kwa kutumia saa. Unaweza kutuma arafa au barua pepe na kutumia Whatsapp na Facebook pia.

Sh40,000

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.