MZAHA WA SONKO

Uteuzi wa Miguna waonekana kama hatua ambayo haikuwaziwa vyema

Taifa Leo - - Front Page -

URAIA WA MIGUNA: Miguna anamenyana na Serikali kuhusiana na uraia wake na ingekuwa vigumu kwake kupiga hatua ya kuidhinishwa bila kutatua hili kwanza.

BUNGE LA KAUNTI: Chama cha Jubilee kina wingi wa madiwani katika Bunge la Kaunti ya Nairobi. Pia uhusiano wa ODM na Jubilee ni kizingiti kikubwa kwa Miguna kuidhinishwa.

SI MWANACHAMA WA JUBILEE: Sonko alichaguliwa kwa tiketi ya Jubilee na hivyo kumteua mtu asiye wa chama hicho kungeleta pingamizi za chama.

TOFAUTI ZA MISIMAMO: Sonko na Miguna ni watu tofauti kimisimamo na kiutendakazi na ni vigumu kwa wawili hawa kufanya kazi pamoja.

Masuala wazi anayofahamu Gavana Sonko PATA HABARI KAMILI UK 2

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.