Fumbo

Taifa Leo - - Fumbo & Falaki -

KULIA:

1. Mambo ya kusumbua yanayomfika mtu katika maisha yake.

7. Mama mzaa baba au mama.

8. Raha na starehe nyingi.

9. Akililia wembe mpe.

10. Hali ya kuwa mtukufu.

13. Atakuwa na faida na manufaa.

14. Kamilisha: --------njema si mlango.

16. Kusanyiko la watu kwenye nyumba iliyopatwa na msiba.

19. Wa kujichoma hauambiwi pole.

20. Haku ya kukauka.

21. Kitu chenye thamani kilichofikicha ardhini.

22. Katika akili.

CHINI:

1. Mnafahamiana.

2. Aina ya wadudu wadogo wa jamii ya chungu na wenye rangi ya kahawia.

3. Nidhamu.

4. Anavuta kimo.

5. Shikamana.

6. Toa nywele, ndevu au manyoya mwilini kwa kutumia kitu chochote chenye makali, kama vile wembe.

11. Piga mbio kwa kuelekea kitu fulani.

12. Katika karamu.

15. Tumainia.

17. Aina ya ndege maridadi kushinda wote ulimwenguni.

18. Kamilisha: Mpanda ------hushuka.

19. Mmoja ni ubao, nyingi ni ----------.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.