Reggae Boys yaona cha mtema kuni

Taifa Leo - - Mawaidha Ya Kiislamu - Na Hassan Pojjo

REGGAE Boys walijipata katika kona mbaya kwenye michuano ya kuwania taji la Juma Thoya Super Cup linaloendelea katika viwanja mbali mbali vya wodi ya Jomvu. Reggae waliokamia kutandika Mancity FC katika uwanja wa Amani, walibadilishiwa kibao na kulimwa mabao 5-0.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.