Uptown wawavyoga Kiamwangi

Taifa Leo - - Mawaidha Ya Kiislamu - Na Duncan Mwere

CHIPUKIZI wa soka ya Nyeri, Uptown FC waliweka wazi azma yao ya kufanya vyema katika ligi ya jimbo walipopepeta Kiamwangi FC 2-0 katika uwanja wa Manispaa wa Karatina. Katika mechi nyingine, mambo yalizidi kuiendea mrama Ihwagi FC kwa kunyukwa 2-1 na Kairo FC huku Mathaithi FC wakipata alama tatu za bwerere baada ya Itiati FC kuingia mitini.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.