Blue Bentos yaangamiza Zesco Utd

Taifa Leo - - Mawaidha Ya Kiislamu - Na Ignatius Oundo

BLUE BENTOS FC iliangamiza vijana wa Zesco United kwa kuwanyeshea vua la magoli 6-0 kwenye dimba la 34C Zone League Cup katika uga wa 34C Grounds. Sogora Paul Otieno alifunga mabao matatu kwenye mechi hiyo iliyoegemea upande mmoja.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.