FAMILIA YAOMBOLEZA MMOJA WAO

Taifa Leo - - Habari Za Afrika Na Dunia -

JAMAA za Mpalestina Nasser Ghorab waomboleza kifo chake katika kambi ya Nusirat katika ukanda wa Gaza jana. Ghorab aliuawa na vikosi vya Israeli kwenye maandamano ya kuadhimisha miaka 70 ya tukio la Nakba ambapo Israeli yadaiwa kutwaa ardhi ya Wapalestina.

Picha/afp

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.