YANGA WAPATA BONGE LA ZALI

MATAJIRI WAZIDI KUJITOKEZA, MECHI ZA MIKOANI SASA KAMA KUMSUKUMA MLEVI

Bingwa - - MBELE -

NA ONESMO KAPINGA, ALIYEKUWA NJOMBE

KAMA kuna anayedhani Yanga itakuwa na wak mgumu kutetea ubing wa Ligi Kuu Tanzania B kutokana na kile kinachoamini ukata unaowakabili, basi ataku anajidanganya.

Kwanini anajidanganya? Ni hiv matajiri wa timu hiyo waliopo mi mbalimbali, wamekuja kivingine inaposafiri kwa ajili ya mechi za ili kuhakikisha inazoa pointi zote itakayowaweka kwenye mazingir ya kubeba taji la Ligi Kuu Bara kw wa nne mfululizo.

Kampeni hiyo ya matajiri wa Ya imeanzia mjini Njombe wakati ti yao ilipokuwa huko kuivaa Njom ambapo ilipata mapokezi ya hali ikiwamo kufikia kwenye hoteli ya ya Day To Day iliyopo eneo la Kib

Hoteli hiyo inayomilikiwa na mfanyabiashara, Leo Mgaya, ilito kadhaa kwa timu hiyo kama sehe ya kuwahamasisha na kuwapand mzuka wachezaji wa Wanajangw kuhakikisha wanawavaa wenyeji wakiwa na ari ya ushindi.

Mbali ya ofa iliyotolewa na hot kwa msafara mzima wa Yanga, pi wanachama na mashabiki wa kla hiyo walipewa ofa ya kupata cha cha jioni na wachezaji kama sehe kuwahamasisha vijana wao kupa

Hoteli ya Day To Day waliyofikia Yanga, picha ndogo kushoto mandhari ya hoteli hiyo

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.