>>LEO KATIKA HISTORIA

Bingwa - - HABARI -

Leo ni Septemba 15, siku 258 zimepita na kubakia 107 kabla ya mwaka huu kumalizika. Mara nyingi terehe hii ya mwezi huu huangukia Jumanne, Alhamisi au Jumamosi, lakini leo ni Ijumaa. Siku kama ya leo mwaka 2013, staa wa mpira wa kikapu wa timu ya Cleveland Cavaliers ya Marekani, LeBron James, alifunga ndoa na mrembo wake wa muda mrefu, Savannah Brinson

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.