TUMUACHE RONALDO NA UEFA YAKE

Bingwa - - SPORTS -

MADRID, Hispania

KWA lugha nyingine unaweza kusema tumuache straika Cristiano Ronaldo na Ligi ya Mabingwa yake.

Usemi huu unatokana na maajabu ambayo amekuwa akiyafanya na kumwezesha kuweka rekodi katika mashindano mbalimbali. Jambo hilo alilidhihirisha usiku wa kuamkia jana, wakati nyota yake ilipozidi kung’ara katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.