4

Bingwa - - SPORTS -

Akiwa mdogo, alivutiwa zaidi na aina ya uchezaji wa aliyekuwa straika wa timu ya Taifa ya Argentina, Gabriel Batistuta. Hiyo inatajwa kuwa sababu ya Cavani kufurahia uhamisho wake wa kucheza Palermo, iliyoko Serie A ambako hata nguli huyo alicheza akiwa na Fiorentina, Roma na Inter Milan.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.