6

Bingwa - - SPORTS -

Mshikaji ni mume wa mrembo Soledad Cabris Yarrus na ni baba wa watoto wawili; Bautista na Lucas. Kuna kipindi kulikuwa na utata katika ndoa yao hiyo baada ya mwanamama huyo kusema Cavani alikuwa akichepuka na ‘kidenti’ cha chuo kikuu. Cavani alinaswa na kisichana hicho wakiwa kwenye mgahawa mmoja wakipata msosi wa jioni.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.