DELE ALLI

SASA ANUKIA MAN UNITED

Bingwa - - SPORTS - MANCHESTER, England

MANCHESTER United wako kwenye nafasi nzuri ya kumsajili kiungo wa Tottenham, Dele Alli. Hiyo ni baada ya wakala anayewasimamia Zlatan Ibrahimovic na Romelu Lukaku, Mino Raiola, kumtaka mchezaji huyo.

Hiyo ni baada ya wakala anayewasimamia Zlatan Ibrahimovic na Romelu Lukaku, Mino Raiola, kumtaka mchezaji huyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.