‘Iniesta kuondoka Barca ni tetesi’

Bingwa - - SPORTS -

HAKUNA uwezekano wa kiungo mkongwe, Andres Iniesta, kuiacha Barcelona, kwa mujibu wa mtendaji mkuu wa Juventus, Giuseppe Marotta.

Juve wamekuwa wakimmezea mate Mhispania huyo mwenye umri wa miaka 33, lakini Marotta anaamini atabaki La Liga.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.