Casillas afichua kuikataa Liver

Bingwa - - SPORTS -

MLINDA mlango, Iker Casillas, amesema aliamua kubaki Porto ili kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu nchini humo baada ya kutakiwa na Liverpool.

Wakati wa majira ya kiangazi, kipa huyo wa zamani wa Real Madrid alizitoa udenda klabu kadhaa ikiwamo Liver.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.