Aurier kicheko tu kutua Spurs

Bingwa - - SPORTS -

NYOTA mpya wa Tottenham, Serge Aurier, amesema amekoshwa na usajili wake wa kujiunga na timu hiyo akitokea PSG.

Nyota huyo amesema waliomvutia kutua Spurs ni mwenyekiti, Daniel Levy na kocha Mauricio Pochettino.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.