Hazard, Chelsea mbona freshi tu?

Bingwa - - SPORTS -

CHELSEA wako mbioni kumpa mkataba mpya nyota wake, Eden Hazard, zikiwa ni jitihada za kumzuia kwenda Real Madrid.

Hazard alikuwa silaha muhimu kwenye vita ya ubingwa msimu uliopita na kwa misimu kadhaa amekuwa akiwatoa udenda Madrid.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.