Maldini amrudisha Aubameyang Milan

Bingwa - - SPORTS -

MKONGWE wa AC Milan, Paolo Maldini, ameilaumu timu hiyo akisema ilichelewa kugundua uwezo wa straika, Pierre-Emerick Aubameyang.

Milan wamekuwa wakipambana kumsajili nyota wao huyo wa zamani lakini imekuwa ngumu kutokana na mafanikio aliyonayo Borussia Dortmund.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.