USICHOKIJUA

Bingwa - - SPORTS -

NYOTA wa zamani wa Bayern Munich, Roy Makaay, ndiye anayeshikilia rekodi ya kufunga bao la mapema katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Staa huyo alifunga bao hilo sekunde ya 10.12, wakati wa mchezo wa marudiano ulioikutanisha Bayern na Real Madrid hatua ya 16 bora msimu wa 2006-07.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.