MBIO ZA MBUZI

Bingwa - - IJUMAA SPESHO HAPA BATA TU -

MASHINDANO ya hisani ya mbio za mbuzi yanatarajia kutimua vumbi kesho kwenye Uwanja wa ‘The Green’ uliopo Barabara ya Kenyatta drive jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 6:00 mchana hadi 11:15 jioni.

Si burudani ya kukosa wikiendi hii, nenda ukashuhudie mbuzi wanavyochanja mbuga. Kivutio zaidi kila mshiriki hufika na mbuzi wake, ambapo wanashindanishwa kama ilivyo kwa wanariadha na mshindi hupatikana kulingana na muda aliotumia kumaliza mbio.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.