FRISBEE

Bingwa - - IJUMAA SPESHO HAPA BATA TU - Zimeandaliwa na Winfrida Mtoi

SIO mchezo maarufu sana hapa nchini lakini umeendelea kushika kasi ambapo wikiendi hii, klabu ya Frisbee ya Dar Ultimate, itafanya mafunzo ya mchezo huo kwenye Shule ya Sekondari Saku iliyopo Mbagala, Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi.

Programu hiyo imeanzishwa kwa lengo la kuwahamasisha vijana kucheza ili kupata timu ya taifa. Kocha wa mchezo huo, Omary Mwiny, alisema hata wanafunzi wa shule nyingine wanakaribishwa kupata mafunzo hayo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.