WUSHU

Bingwa - - IJUMAA SPESHO HAPA BATA TU -

WACHINA, Wabongo leo wanakusanyika pamoja pale kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam, kwa ajili ya mashindano ya mchezo wa Wushu ambao ni maarufu nchini China.

Michuano hiyo ya siku tatu, inaanza saa mbili asubuhi kwa kushirikisha klabu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania. Kama umezoea kuona Kung Fu kupitia runinga hapo utashuhudia mubashara ambapo kutakuwa na mitindo tofauti inachezwa kama vile Sanda na Taolu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.