Snura kufanya kufuru Maisha Club

Bingwa - - IJUMAA SPESHO PAPASO LA BURUDANI -

NA GLORY MLAY MALKIA wa uswazi na msanii wa Bongo Fleva, Snura Jumamosi Mushi, hii anatarajia kudondosha burudani nguvu ya kwenye ukumbi Maisha wa Basement, Dar es Salaam.

Mrembo huyo, ambaye anatamba na wimbo mpya unaoitwa Zungusha Snura, aliomshirikisha Christian Bella, ameliambia Papaso la Burudani kuwa, mbali na shoo kali, kutakuwa na shindano la kuzungusha nyonga. “Nitazindua video wangu ya wimbo niliofanya na Bella ambapo pia kutakuwa na shindano la kutafuta mkali wa kuzungusha nyonga ataondoka na mshindi na zawadi nono, kwa hiyo watu waibuke kwa wingi,” alisema Snura.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.