Uwanja wa Gelora Bung Karno upo katika

Bingwa - - SPORTS EXTRA -

mji Mkuu wa Indonesia, Jakarta, Indonesia na uwezo wake ni wa kuchukua watazamaji 88,306. Timu za Arsenal, Liverpool na Chelsea zimekuwa zikiutumia kwa ajili ya mechi za kirafiki na timu ya taifa ya nchi hiyo pindi zinapokuwa katika ziara ya kujiandaa na misimu mbalimbali kila mwaka.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.