KUMBE NEYMAR HANA MPANGO NA BALLON D’OR!

Bingwa - - SPORTS EXTRA -

STRAIKA wa Paris Saint-Germain, Neymar, amezidi kusisitiza kwamba kutwaa ubingwa wa michuano mbalimbali ndilo jambo la muhimu kwake na wala hawazii kutwaa tuzo ya kwanza ya mchezaji bora wa dunia, Ballon d'Or.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.