TUNAWASILI ...

Bingwa - - HABARI -

Wachezaji walio chini ya miaka 16 kutoka Kituo cha Michezo cha Alliance Sport Academy cha Mwanza, wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam jana, wakitokea Afrika Kusini kushiriki mashindano ya Copa Coca Cola ya Kombe la Dunia 2017.

Na Mpigapicha Wetu

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.