>>LEO KATIKA HISTORIA

Bingwa - - HABARI -

LEO ni Oktoba 12, zimekwisha siku 285 na kubaki 80 kabla ya kumalizika kwa mwaka huu.Mara nyingi tarehe hii ya mwezi huu huangukia Jumatatu, Jumatano au Ijumaa, lakini leo ni Alhamisi. SIKU kama ya leo mwaka 1965, Chile waliichapa Ecuador katika mtanange wa ‘playoff’na ikawa ni mara yao ya kwanza kucheza fainali za kombe la dunia zilizofanyika barani Ulaya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.