MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU KOMBE LA DUNIA 2018

Bingwa - - TOP TEN TAKWIMU - LONDON, England

TAYARI macho na masikio ya mashabiki wengi wa soka ulimwenguni kote yameanza kuelekezwa nchini Urusi ambako jumla ya miji 11 itawaka moto wakati wa majira ya kiangazi.

Jumla ya mataifa 32 yataliwania taji la Kombe la Dunia, michuano inayosimamiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) ambayo hufanyika kwa kipindi cha mwezi mmoja, kila baada ya miaka minne.

Lakini je, ni mambo gani ambayo huenda ungependa kuyajua kuelekea fainali hizo kubwa zaidi kwa ngazi ya timu za taifa? Cheki haya:

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.